Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

mimi nimekosea nikaweka same degree mara mbili, kuifuta moja ibaki moja sasa ndo kimbembe.
 
Ukienda kwenye academic qualifications unaweza kufuta.

Naona kuna mtu kasema haiwezekani.

Lakini mimi nimewahi kufuta degree niliyosoma nikaiandika nyingine na nikaitwa interview kwa hiyo degree nyingine.

Na nimerudisha degree niliyosomea na nimeomba tena kazi nyingine.

Sasa kama nimeweza kufanya hivyo ni vipi wewe ushindwe kuondoa hiyo qualification ya degree?

Na umesoma IT?
 
Je nikwel ajira portal Ina msaada mkubwa katika kupata ajira, swali TU.
 
Ukienda kwenye academic qualifications unaweza kufuta.

Naona kuna mtu kasema haiwezekani.

Lakini mimi nimewahi kufuta degree niliyosoma nikaiandika nyingine na nikaitwa interview kwa hiyo degree nyingine.

Na nimerudisha degree niliyosomea na nimeomba tena kazi nyingine.

Sasa kama nimeweza kufanya hivyo ni vipi wewe ushindwe kuondoa hiyo qualification ya degree?

Na umesoma IT?
Aiseee
 
tulia tu itabadilika yenyewe mimi nilipaparika kama wewe nikajikuta nimeadd degree mbili [emoji16],kuangalia baada ya siku mbili nikakuta imejiupdate yenyewe , ko nimebaki na degree mbili zinazofanana
 
lamda kipindi cha nyuma mkuu saiv haikubali
 
Wewe ndo kama mimi[emoji23]sasa sijui watanielewaje
 
HEBU JARIBU KUWA, MUELEWA MIMI SITAKI KABISA, NA KAMA KUNA NJIA YA KUFUNGA NI SI UPDATE CHOCHOTE NIPO KWA RADHI YANGU, NA AKILI TIMAMU
...WAFUNGE NISI ADD CHOCHOTE BAADA YA KUTOA... PIA NIJICOMMIT KUTOTUMIA CHETI CHA DEGREE UNLESS NIKASOME TENA, THREE YEARS

Mkuu kwan lazima uombe kazi utumishi tu, vyeti vyako vitakusaidia sehemu nyengine
 
lamda kipindi cha nyuma mkuu saiv haikubali
Hizi options za kuedit hauzipati mkuu?

Screenshot_2022-04-15-09-32-03-98.jpg
 
YANI HAIWEZEKANI, 100%....AU INATEGEMEA NA REASON UTAKAZOTOA ? CZ MM NINA REASON NA NATAKA NIKAAPE MAHAKAMANI SITAKI KUTUMIA TENA CHETI CHANGU CHA BACHELOR DEGREE...NA HUKO MBELE NITASOMA BACHELOR YA KITU KINGINE
inawezekana vizuri tu
 
Back
Top Bottom