Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Muache akapoteze muda huko mana anaelimishwa lkn anajifanya haelewi.
THANK YOU A BUNCH, BUT I WILL NOT SURRENDER, GIVING UP IS NOT AN OPTION.....I WILL TRY... MANENO YAKO HAYATANIZUIA KUJARIBU ZAIDI YAMENI INSPARE, THE SAME KWENYE KUNDI WANAZOSEMA AJIRA ZA UTUMISHI NI ZA MICHONGO NA WENGINE WANAFANIKIWA KUPITIA HUKO...... NAKUACHA NA HII COVER LETTER YA KITABU CHA, IMPOSSIBLY IS POSSIBLY CHA JOHN MASON.....Usipoteze resources zako,hutopata msaada wa unachokitaka.wasikilize wenzio wanaokupa experiences zao hapa kuhusu hao utumishi.
Na ukitaka kucancell application unafanyaje mkuu?Kuna mtu nimemsaidia kufanya hilo jambo, huenda ni suala la network, but once u edited inakuwa imekubali kwenye database yao.. Ondoa hofu mkuu.
GIVING UP IS NOT AN OPTION ✊Mkuu kwan lazima uombe kazi utumishi tu, vyeti vyako vitakusaidia sehemu nyengine
Mkuu huwez ku-cancel, the only thing u can do ni ku-edit application letter.Na ukitaka kucancell application unafanyaje mkuu?
Nakubali mkuu, kikubwa ni kusimama na kile unachokiamini..THANK YOU A BUNCH, BUT I WILL NOT SURRENDER, GIVING UP IS NOT AN OPTION.....I WILL TRY... MANENO YAKO HAYATANIZUIA KUJARIBU ZAIDI YAMENI INSPARE, THE SAME KWENYE KUNDI WANAZOSEMA AJIRA ZA UTUMISHI NI ZA MICHONGO NA WENGINE WANAFANIKIWA KUPITIA HUKO...... NAKUACHA NA HII COVER LETTER YA KITABU CHA, IMPOSSIBLY IS POSSIBLY CHA JOHN MASON.....
View attachment 2188119
Tuheshimiane.Sasa mkuu shida yote hii uliyoipata kwa kufutafuta ya nini, kwani tukiona Kuna dhambi.. Sasa unakuwa kama umeiba vyeti Msomi gani hujiamini
Kumbuka kwa nafasi hizi za sasa //TRA, one of the General condition ni ku-apply only one post incase kama system inakuruhusu ku-apply zaid ya post moja.Na ukitaka kucancell application unafanyaje mkuu?
Ok,nilibugi nikaomba mbili za tra,naona nishakua disqualified.Mkuu huwez ku-cancel, the only thing u can do ni ku-edit application letter.
Aisee! wacha tuone itakuajeOk,nilibugi nikaomba mbili za tra,naona nishakua disqualified.
We unaweza?Sasa mkuu shida yote hii uliyoipata kwa kufutafuta ya nini, kwani tukiona Kuna dhambi.. Sasa unakuwa kama umeiba vyeti Msomi gani hujiamini
WELL SAID KAKA✊,Naku
Nakubali mkuu, kikubwa ni kusimama na kile unachokiamini..
Mwenyewe nishawahi kusikiliza ya watu nikajikuta nimeingia loss ya mambo yangu.. simama wewe kama wewe
kuedit sio kufuta
Au siyo?kuedit sio kufuta
Bas vyema kwa sasa nna 60% na hazjaongezeka na sjui niziongeze vp,Ajira zote za serikali isipokuwa chache za mikataba lazima uombe kupitia Ajiraportal
Mkuu,mbona nimeliwa kichwa sasa,nimeomba zote mbili aiseeeeKumbuka kwa nafasi hizi za sasa //TRA, one of the General condition ni ku-apply only one post incase kama system inakuruhusu ku-apply zaid ya post moja.
Wanaweza kutumia kama kigezo ku-disqualify watu.
Aisee, pole!!
Nishaongeaga sana humu,, ogopa sana statement ambazo ziko bold kwa wale jamaa.. maana wanakuchukulia wewe hufuati taratibu hata kazini utaenda OPAisee, pole!!
Ila ni mawazo yangu, bad luck ni kwamba wame bold kabisa kuonyesha msisitizo.
Ila kwa imani, isiwakatishe tamaa endelea kupiga msuri!! huwezi jua coz hawatabiriki hawa watu.
Nasisitiza, piga msuri.