MIMI NI POSITIVE MIND, NAAMINI KWENYE KILA SITUATION YA KISICHOWEZEKANA BASI KUNA ROOM YA KUWEZEKANA,
NAAMINI KWENYE KILA UGUMU, KUNA ROOM YA KUONDOA HUO UGUMU..
LET GIVE YOU SOME SCENARIO
---------------------------------------
KWA AKILI ZA KIBINADAMU NI NANI, ANGEJUA MH: SPEAKER MSTAAFU LEO ANGEKUWA MBUNGE,...HOW POSSIBLE?
HOW POSSIBLE, DK. BASHIRU FROM TOP TO BUTTON.. HIYO MIFANO HAI , SO SIO MIMI TU, USIOGOPE KUJARIBU KISA FULANI ALISEMA HAIWEZEKANI...
KUNA WATU HUMU, WANAAMINI AJIRA ZA UTUMISHI NI MICHONGO,ILA KUNA WATU MBONA WANAPITA BILA CONNECTION??
SO BELIEVE IN YOUR SELF, USIMSIKILIZE MTU KAMA YEYE KAENDA, KAKOSA SAIDIWA IT'S HER/HIM... NA WEWE NENDA HATA USIPOSAIDIWA ILA UNAKUWA HAUNA CHA KUJILAUMU.. UNASEMA NILI ATTEMPT...
NA SIKU ,ZOTE FURSA HUTUKUTA NJIANI, ETI HAIWEZEKANI THN UPO KWENYE SIMU UNA TYPE, SEMA HAIWEZEKANI TAYARI UKIWA SEHEMU YA HUSIKA....
MIMI NI HAYO TU, SO I WILL GO WHATEVER THE SITUATION IS... ETI UTAHARIBU RESOURCES ZAKO, HOW COULD YOU SO GOOD TO ME? FROM WHEN ? HOW MANY I HAD LOST? WHICH MEANS TO FEAR THIS?