Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Muache akapoteze muda huko mana anaelimishwa lkn anajifanya haelewi.

Usipoteze resources zako,hutopata msaada wa unachokitaka.wasikilize wenzio wanaokupa experiences zao hapa kuhusu hao utumishi.
THANK YOU A BUNCH, BUT I WILL NOT SURRENDER, GIVING UP IS NOT AN OPTION.....I WILL TRY... MANENO YAKO HAYATANIZUIA KUJARIBU ZAIDI YAMENI INSPARE, THE SAME KWENYE KUNDI WANAZOSEMA AJIRA ZA UTUMISHI NI ZA MICHONGO NA WENGINE WANAFANIKIWA KUPITIA HUKO...... NAKUACHA NA HII COVER LETTER YA KITABU CHA, IMPOSSIBLY IS POSSIBLY CHA JOHN MASON.....

download (3).jpeg
 
Kuna mtu nimemsaidia kufanya hilo jambo, huenda ni suala la network, but once u edited inakuwa imekubali kwenye database yao.. Ondoa hofu mkuu.
Na ukitaka kucancell application unafanyaje mkuu?
 
MIMI NI POSITIVE MIND, NAAMINI KWENYE KILA SITUATION YA KISICHOWEZEKANA BASI KUNA ROOM YA KUWEZEKANA,

NAAMINI KWENYE KILA UGUMU, KUNA ROOM YA KUONDOA HUO UGUMU..

LET GIVE YOU SOME SCENARIO
---------------------------------------
KWA AKILI ZA KIBINADAMU NI NANI, ANGEJUA MH: SPEAKER MSTAAFU LEO ANGEKUWA MBUNGE,...HOW POSSIBLE?


HOW POSSIBLE, DK. BASHIRU FROM TOP TO BUTTON.. HIYO MIFANO HAI , SO SIO MIMI TU, USIOGOPE KUJARIBU KISA FULANI ALISEMA HAIWEZEKANI...

KUNA WATU HUMU, WANAAMINI AJIRA ZA UTUMISHI NI MICHONGO,ILA KUNA WATU MBONA WANAPITA BILA CONNECTION??

SO BELIEVE IN YOUR SELF, USIMSIKILIZE MTU KAMA YEYE KAENDA, KAKOSA SAIDIWA IT'S HER/HIM... NA WEWE NENDA HATA USIPOSAIDIWA ILA UNAKUWA HAUNA CHA KUJILAUMU.. UNASEMA NILI ATTEMPT...

NA SIKU ,ZOTE FURSA HUTUKUTA NJIANI, ETI HAIWEZEKANI THN UPO KWENYE SIMU UNA TYPE, SEMA HAIWEZEKANI TAYARI UKIWA SEHEMU YA HUSIKA....

MIMI NI HAYO TU, SO I WILL GO WHATEVER THE SITUATION IS... ETI UTAHARIBU RESOURCES ZAKO, HOW COULD YOU SO GOOD TO ME? FROM WHEN ? HOW MANY I HAD LOST? WHICH MEANS TO FEAR THIS?
 
Naku
THANK YOU A BUNCH, BUT I WILL NOT SURRENDER, GIVING UP IS NOT AN OPTION.....I WILL TRY... MANENO YAKO HAYATANIZUIA KUJARIBU ZAIDI YAMENI INSPARE, THE SAME KWENYE KUNDI WANAZOSEMA AJIRA ZA UTUMISHI NI ZA MICHONGO NA WENGINE WANAFANIKIWA KUPITIA HUKO...... NAKUACHA NA HII COVER LETTER YA KITABU CHA, IMPOSSIBLY IS POSSIBLY CHA JOHN MASON.....

View attachment 2188119
Nakubali mkuu, kikubwa ni kusimama na kile unachokiamini..
Mwenyewe nishawahi kusikiliza ya watu nikajikuta nimeingia loss ya mambo yangu.. simama wewe kama wewe
 
NITAJARIBU ,ILI MWISHO JIBU LANGU LIWE NILIONA KUWA HAIWEZEKANI...NA SIO NILISIKIA KUWA HAIWEZEKANI 💪...

NAJUA NI NGUMU, NA KUFAIL NI NJIA SAHIHI KULIKO KUTOKUJARIBU KABISA💯
 
Aisee, pole!!
Ila ni mawazo yangu, bad luck ni kwamba wame bold kabisa kuonyesha msisitizo.

Ila kwa imani, isiwakatishe tamaa endelea kupiga msuri!! huwezi jua coz hawatabiriki hawa watu.

Nasisitiza, piga msuri.
Nishaongeaga sana humu,, ogopa sana statement ambazo ziko bold kwa wale jamaa.. maana wanakuchukulia wewe hufuati taratibu hata kazini utaenda OP
 
Back
Top Bottom