Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Transcription si ukachukue tena chuoni
 
Habari,

Kuna jamaa yangu alijaza ajira portal miaka mitano imepita, ila sasa anataka aweke certified coppies ila anakutana na changamoto cheti cha O- level kinagoma kufanyiwa editing yaani kukikndoa na kuweka kingine.

Alipofosi akajikuta kaweka cheti cha O level mara 3 ila kuapload ile certified copy imekuwa ngumu.

Nimejaribu kumsaidia imekuwa ngumu.

Vipi aache tu kopi ya zamani au afanyeje?

Thanks.
 
Si useme tu ni wewe mkuu?
 
Mkuu kwa kumsaidia ungemuwekea link yenye hiyo solution hapa JF zinachakatwa threads nyingi na huyu Mkuu mleta hoja ni guru wa Jukwaa la Politics [emoji1]
Akajisahau akazamia kwenye siasa akaacha majukwaa mengine 😂😂
Mm nikiwa na shida hua naingia JF sehemu ya ku-search naandika jambo langu halafu uzi tofauti tofauti zinakuja hvy naanza kuangalia moja moja.
 
Kwanza anaweka certified copies hizo Ajira amezisikia wapi..?
Utumishi hakuna Ajira ww labda aende huko Tamisemi Kuna Ajira za waalimu na wang'oa meno
 
Mchek mr.daud chap anamaliza tatizo kwa laptop yake
+255 769 925 004
 
Nashangaa hivi vitu havifutiki kwenye portal yangu nimeupdates Mara kibao Ila bado vinabaki hivyohivyo shida nini au ni wote.

 
Wakuu hivi inawezekana kuomba kazi ukiwa over qualified kwenye mfumo wa ajira portal? Mfano nafasi zinazohitaji sifa za form 4 alafu mimi nina astashahada. Nikiomba mfumo utakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…