Transcription si ukachukue tena chuoniMimi nimesoma Diploma in accountancy lakini nianza kusoma kuanzia Cheti(certificate) mpaka Diploma Sasa kwenye hizi kazi za TRA nimeiweka na nimefanya certification ya transcript Moja tu yaaan ya DIPLOMA.
Ila sijaiweka ya cheti(certificate) kwasababu niliipoteza hiyo transcript.... Je inaweza kusumbua katika Ajira portal?
Msaada please!