Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Kwake cheti kinaonekana na amelog in kwenye simu zaidi ya 5 vyeti vyote vinaonekana. Ajira portal kuna tatizo kubwa sana kwasasa.Basi hapo shida ni kwenye system Yao Wenda cheti Akionekani..
Ila akijaribu kucheck tena kwenye account cheti kipo au hakipo..?