Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari [emoji22]
 
Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari [emoji22]
Kama una paste email hakikisha mwishoni Hakuna nafasi na password vile vile.
 
Hii systems yao bado ni changamoto, kila niki refresh inaleta picha za watu wengine, na details zao, nime upload kila kitu, ila hakionekani toka jana mpaka sasa.
 
Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari [emoji22]
Umeshacreate account ndio inakataa kulogin??
 
Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
 
Back
Top Bottom