Barickhan majura
Member
- Sep 25, 2017
- 17
- 8
Sema sababu usaidiwe.. maana hv karibuni issue kubwa ilikuwa kucertify vyeti, Sasa ww unaambiwaje maana naona kama unajitafutia majanga unadeal na vitu visivyohusika tena ni vya kawaida saaaaana..Hawa jamaa wameni unshortlist Mara kibao visababu havieleweki ko najihami
Tena haraka sana...Ajira Portal ni ya kuifumua yote hata watendaji wake pia wakufumuliwa pale ofisini.
Daudi katimuliwa huko.......Ajira Portal ni ya kuifumua yote hata watendaji wake pia wakufumuliwa pale ofisini.
Daudi katimuliwa huko.......
Aliteuliwa kuwa Naibu Katibu wa wizara ya utumishiDaudi katimuliwa huko.......
Dah afadhali hope watafanya reforms kwenye ajira Portal maana wengi wanakosa fursa Kwa sababu zisizokuwa na msingiDaudi katimuliwa huko.......
Mkuu download app ya ajira portal playstore hope utaweza ku-apply kupitia app.Naomba kuulizia hivi ni kwanini ukituma maombi Ajira Portal inakuandikia application failed ilihali unavigezo vyote kulingana na tangazo husika lilivoainisha.
Pole.Daudi alipanda cheo.Ni Naibu Katibu Mkuu Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania.Nafasi aliyoiacha imejazwa leo.Unamchukia sana? Unapata nini?Daudi katimuliwa huko.......
Namchukia sana,hata yeye anajua namchukia sana, nayeye ananichukia 50/50.........Pole.Daudi alipanda cheo.Ni Naibu Katibu Mkuu Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania.Nafasi aliyoiacha imejazwa leo.Unamchukia sana? Unapata nini?
[emoji3]Namchukia sana,hata yeye anajua namchukia sana, nayeye ananichukia 50/50.........
Mdogo wangu amepiga muhuri wa mwanasheria na ameviattach vyeti toka mwaka jana na hii Interview kibao ameitwa hadi Interview ya juzi iliyofanyika mzinga Tabora aliitwa cha ajabu hii short list iliyotolewa jana hayupo kaambiwa eti hajaweka cheti.Sema sababu usaidiwe.. maana hv karibuni issue kubwa ilikuwa kucertify vyeti, Sasa ww unaambiwaje maana naona kama unajitafutia majanga unadeal na vitu visivyohusika tena ni vya kawaida saaaaana..
Basi hapo shida ni kwenye system Yao Wenda cheti Akionekani..Mdogo wangu amepiga muhuri wa mwanasheria na ameviattach vyeti toka mwaka jana na hii Interview kibao ameitwa hadi Interview ya juzi iliyofanyika mzinga Tabora aliitwa cha ajabu hii short list iliyotolewa jana hayupo kaambiwa eti hajaweka cheti.