Kwake cheti kinaonekana na amelog in kwenye simu zaidi ya 5 vyeti vyote vinaonekana. Ajira portal kuna tatizo kubwa sana kwasasa.Basi hapo shida ni kwenye system Yao Wenda cheti Akionekani..
Ila akijaribu kucheck tena kwenye account cheti kipo au hakipo..?
😂😂 Imebidi nirudi kuangalia hy ya chini ni nn 😂😂kweli we wa mbeya no offense hizo zinabaki hivyo hivyo sababu zinaweza change mda wowote unaweza ukaoa au ukapata hiyo ya chini
inasikitisha ila asikate tamaaKwake cheti kinaonekana na amelog in kwenye simu zaidi ya 5 vyeti vyote vinaonekana. Ajira portal kuna tatizo kubwa sana kwasasa.
Yaani Akili zilizotumika kuitengeneza ile ni ndogo sana alafu zimeaminiwa na kuleta taharuki kwa watanzania.Mm nili update , siku hiyo ya Kwanza ziligoma kubadilika , nikakata Tamaaa kabisa na Ajira portal , ila baada ya Kama week Nika Kuta zimebadilika ze nyewe,
Mm nimesoma computer science ,Ila kinacho fanyika Ajira portal kinanishanga Sana Yan 🤣☘️
Hakuna kitu kama hicho.Acha uoga scroll hiyo screen ya simu yako kwenda kulia utaona delete, screen ya simu ni ndogo ku display Kila kitu
Mimi nimejaribu kwa kwa email zatu zote wananiambia wanatuma activation email lakn ku activate inanambia nmetmia email au password isiyo sahih wakat nakopi na ku paste.Ingia kwenye email yako pengine wameshakutumia ujumbe wa kucomfirm registration. Usipokuta fungua email nyingine
Mimi imenitesa ku activate account hi n wiki ya pili jaman kila nkijarib wanantumia the same email yenye link ya ki activate lakin inazingua ko sjajua shida nn na nimejaribu kwa email tatu tayari lakn n vilevileIngia kwenye email yako pengine wameshakutumia ujumbe wa kucomfirm registration. Usipokuta fungua email nyingine
Nitumie credentials zako nikufungulie akauntiNikimaliza ku create account wanantumia email yenye link ya ku activate account. navotaka ku activate inaniomba kuweka email na password na naweka vile vile bila kukosea lakin wasasema incorrect login mpak sielew
Unamanisha email na password au kuna yanayo hitajika zaidi?Nitumie credentials zako nikufungulie akaunti
Hii email ndiyo inakuambia imeshafungua akaunti ajira portal?Unamanisha email na password au kuna yanayo hitajika zaidi?
Email jovinnydinho1991@gmail.com
Nisaidie kufungua mkuuNitumie credentials zako nikufungulie akaunti
Una email ambayo bado haujaitumia ajira portal?Nisaidie kufungua mkuu