Hii ni confidential.sio kila kitu ukiweke wazihusseinissann@gmail.com
password x.hin.tz
Kama una paste email hakikisha mwishoni Hakuna nafasi na password vile vile.Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.
Naomba msaada tafadhari [emoji22]
Hakuna nishandika nakuandik lkn inagomaKama una paste email hakikisha mwishoni Hakuna nafasi na password vile vile.
Natumia cmUnatumia simu au pc?
Umeshacreate account ndio inakataa kulogin??Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.
Naomba msaada tafadhari [emoji22]
Log out kwanza kisha ingia upyaHii systems yao bado ni changamoto, kila niki refresh inaleta picha za watu wengine, na details zao, nime upload kila kitu, ila hakionekani toka jana mpaka sasa.
nimefanya hivi, ila bado uki click pale kwenye personal details inakataa kuingiaLog out kwanza kisha ingia upya
Unatumia Simu au PC ?nimefanya hivi, ila bado uki click pale kwenye personal details inakataa kuingia
pcUnatumia Simu au PC ?
angalia na network pia unaweza kuwa shida
Diploma mkuu na mimi nina-diploma (ordinary diploma).Ebu jaribu kuangalia level ya elimu inayotakiwa