Wakuu habari zenu,
Naomba kufahamishwa kuna tatizo gani katika frumo wa kuomba ajira serikarini kupitia sekretariet ya ajira.
Ni zaidi ya wiki mbili kuna dogo alihitaji nimsaidie kuweka current picha yake kwenye profile la kuomba ajira kama maelekezo yanavyo hitaji, lakini nimejaribu sana kupitia simu na Kompyuta lakini imeshindikana. Naona inaload tu.
Nimejaribu kutrace nikaona pia kuna watu wanakutana na changamoto hii. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa namna gani ya kuweza ku upload,, Resolution zimezingatiwa na pia picha iko chini ya MB walizolimit.
Naomba mwenye ufahamu zaidi atufahamishe.
Hiyo picha kama unayo i scan kwa kutumia cam scanner kama huna cam scanner i downloadWakuu habari zenu,
Naomba kufahamishwa kuna tatizo gani katika frumo wa kuomba ajira serikarini kupitia sekretariet ya ajira.
Ni zaidi ya wiki mbili kuna dogo alihitaji nimsaidie kuweka current picha yake kwenye profile la kuomba ajira kama maelekezo yanavyo hitaji, lakini nimejaribu sana kupitia simu na Kompyuta lakini imeshindikana. Naona inaload tu.
Nimejaribu kutrace nikaona pia kuna watu wanakutana na changamoto hii. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa namna gani ya kuweza ku upload,, Resolution zimezingatiwa na pia picha iko chini ya MB walizolimit.
Naomba mwenye ufahamu zaidi atufahamishe.
Nisaidieni namna ya kuweka passport size kwenye profile portal yangu ya utumishi, nikiweka inaload tu bila mafha
Hakikisha passport yako umei scan itakubali chapNisaidieni namna ya kuweka passport size kwenye profile portal yangu ya utumishi, nikiweka inaload tu bila mafanikio.
kuwa na busara,kama wewe ushapata waache na wenzio nao wapateAcha funga hio page, nenda kajiajiri ,fungua kiwanda.
Kaka changamoto za ajira portal ni nyingi na hazirekebishiki,in fact huo ni mfumo wa kuwanyima watu ajira na sio kuwapa watu ajira, sikusema kwa ubaya, atapoteza muda burekuwa na busara,kama wewe ushapata waache na wenzio nao wapate
Achana napo hapo mkuu, kikubwa kama usha attach barua ya kuomba kazi basi inatosha, chakufanya nenda kwenye vacancies uka apply unachotaka kuombaHabari za leo Jamii Forum members, naomba msaada, msaada ninao uomba unajikita kwenye kuweka tick kibox cha declaration form ya Ajira Portal, kila nikijaribu kuweka alama ya tick inagoma.
Je, nifanye nini kufanikiwa?
Picha hiyo hapo
View attachment 2268591
Asante sana nduguAchana napo hapo mkuu, kikubwa kama usha attach barua ya kuomba kazi basi inatosha, chakufanya nenda kwenye vacancies uka apply unachotaka kuomba
Achane nae hatakiwi kujibiwakuwa na busara,kama wewe ushapata waache na wenzio nao wapate
Jaza declarations kusaini taarifa zako acha ufalaAsante sana ndugu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha funga hio page, nenda kajiajiri ,fungua kiwanda.
[emoji3][emoji3] jobless wa nchi hii mmevurugw kishenziJaza declarations kusaini taarifa zako acha ufala
Omba likizo ya bila malipo miezi mitatu halafu njoo mtaani utafahamu[emoji3][emoji3] jobless wa nchi hii mmevurugw kishenzi
Transcript ni muhimu ku attach hapo lazima usiitweWakuu na mm nimeapply utumishi kwa certify vyeti yaan cheti cha chuo cheti cha form four na kuzaliw ilaa sijaattach transcript vp nawez kuw sabb kutoitwa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Angalia source ya internet unayotumia kama ina nguvu,Habari za leo Jamii Forum members, naomba msaada, msaada ninao uomba unajikita kwenye kuweka tick kibox cha declaration form ya Ajira Portal, kila nikijaribu kuweka alama ya tick inagoma.
Je, nifanye nini kufanikiwa?
Picha hiyo hapo
View attachment 2268591
Na nikiwek kipindii hiki mda ushapita jeTranscript ni muhimu ku attach hapo lazima usiitwe
izo changamoto za kutuma zipo sawa kuna muda mwingine mtandao unasumbua ila nafasi ya kutuma ipo kwa kila mtu,mie mwenyewe nimeshatuma maombi ya kazi mbili kwa muda tofauti tofauti,ila sasa wewe unatakiwa kumpa matumaini ya kufanikiwa kutuma na sio kumwambia asitume atafute kazi ajiajiri ama afungue kiwanda hayo ni maneno yasiyo ya kiungwanaKaka changamoto za ajira portal ni nyingi na hazirekebishiki,in fact huo ni mfumo wa kuwanyima watu ajira na sio kuwapa watu ajira, sikusema kwa ubaya, atapoteza muda bure