Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Huu mfumo unaratibiwa na watu wa aina gani? Kwanini mnazuia vijana wasiweze kurekebisha au kudelete academic qualifications walizoziweka?

Halafu mbona mkiandikiwa email hamjibu? Pia sehemu ya feedback mmeweka recaptcha iliyo case sensitive lakini wakati wa kuandika mmeweka automatic upper case kwahiyo muda wote inakataa.

Rekebisheni haya matatizo.
 
Kwanini urekebishe? Inamaana wakati unajaza hukujua qualifications zako au unakuwa umekosea kujaza?
Kuna makosa kwenye ujazaji. Halafu miaka ya nyuma ilikuwa unaweza kuweka vyeti vyote hapo. Sasa siku hizi wamebadilisha na unakuta kazi wanataka mtu wa computer engineering na mwombaji anayo degree ya computer engineering lakini inasema hakubaliki kwasababu inaangalia latest cheti ulichoweka.
 
Kwanini urekebishe? Inamaana wakati unajaza hukujua qualifications zako au unakuwa umekosea kujaza?
Kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa ambazo ni zakwake? Hili ni jambo serious maana kuna mtu ambaye ninamfahamu ameshindwa kuomba kwasababu kama hizi. Wampe angalau uwezo wa kurekebisha au kudelete kabisa ajaze upya.
 
Hii nchii hii jmn daaaah acha tu
 
liku ulipandisha cheti ambacho hakikuwa certified, ulikuwa na haraka . hivyo unataka kupandisha certified one inakataa kupanda ni tatizo hilo
Hilo linawezeka, huenda tatizo ni wewe
 
Kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa ambazo ni zakwake? Hili ni jambo serious maana kuna mtu ambaye ninamfahamu ameshindwa kuomba kwasababu kama hizi. Wampe angalau uwezo wa kurekebisha au kudelete kabisa ajaze upya.
Hata mimi nawashangaa kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa zake.
 
Niliomba ajira Mara ya Kwanza zile za TPA nikapata majibu sijawa shortlisted kwa sababu cheti Cha form 6 sija attach
Nikaenda kuangalia kwenye academic qualifications nikakikuta,nikaomba Tena ajira zingine mwezi huu Sasa leo katika kuangalia kipengele cha academic transcripts nikakuta wanataka Napo tuweke vyeti vya form 5 na 6 imebidi niweke
Je hii inamaanisha hizi ajira za mwezi huu nimekosa ?
 
Wamesema wapi wanataka vyeti vya form 4 na six kwenye academic transcript
 
Back
Top Bottom