Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
We weka hamna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We weka hamna shida
Ukifanikiwa kuweka naomba unishatue mkuu, nami ninachangamoto kama yako
Ww bro unachangamoto ipi ya transcript au ulicertify vyeti lakUkifanikiwa kuweka naomba unishatue mkuu, nami ninachangamoto kama yako
Kuweka tick kwenye kiboksi cha declarationWw bro unachangamoto ipi ya transcript au ulicertify vyeti lak
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Iyoo mbn fasta kaka hakn ttzKuweka tick kwenye kiboksi cha declaration
Mbona mimi inakataaa ?
Nishaga apply muda sana. Sema iko kipengele cha declaration kiligoma kuweka tiki
Kuna makosa kwenye ujazaji. Halafu miaka ya nyuma ilikuwa unaweza kuweka vyeti vyote hapo. Sasa siku hizi wamebadilisha na unakuta kazi wanataka mtu wa computer engineering na mwombaji anayo degree ya computer engineering lakini inasema hakubaliki kwasababu inaangalia latest cheti ulichoweka.Kwanini urekebishe? Inamaana wakati unajaza hukujua qualifications zako au unakuwa umekosea kujaza?
Kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa ambazo ni zakwake? Hili ni jambo serious maana kuna mtu ambaye ninamfahamu ameshindwa kuomba kwasababu kama hizi. Wampe angalau uwezo wa kurekebisha au kudelete kabisa ajaze upya.Kwanini urekebishe? Inamaana wakati unajaza hukujua qualifications zako au unakuwa umekosea kujaza?
Hii nchii hii jmn daaaah acha tuKwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa ambazo ni zakwake? Hili ni jambo serious maana kuna mtu ambaye ninamfahamu ameshindwa kuomba kwasababu kama hizi. Wampe angalau uwezo wa kurekebisha au kudelete kabisa ajaze upya.
Hilo linawezeka, huenda tatizo ni weweliku ulipandisha cheti ambacho hakikuwa certified, ulikuwa na haraka . hivyo unataka kupandisha certified one inakataa kupanda ni tatizo hilo
Hata mimi nawashangaa kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa zake.Kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa ambazo ni zakwake? Hili ni jambo serious maana kuna mtu ambaye ninamfahamu ameshindwa kuomba kwasababu kama hizi. Wampe angalau uwezo wa kurekebisha au kudelete kabisa ajaze upya.
Labda kuna siku watajitokeza na kutoa ufafanuzi.Hata mimi nawashangaa kwanini wamzuie mtu kurekebisha taarifa zake.
Wamesema wapi wanataka vyeti vya form 4 na six kwenye academic transcriptNiliomba ajira Mara ya Kwanza zile za TPA nikapata majibu sijawa shortlisted kwa sababu cheti Cha form 6 sija attach
Nikaenda kuangalia kwenye academic qualifications nikakikuta,nikaomba Tena ajira zingine mwezi huu Sasa leo katika kuangalia kipengele cha academic transcripts nikakuta wanataka Napo tuweke vyeti vya form 5 na 6 imebidi niweke
Je hii inamaanisha hizi ajira za mwezi huu nimekosa ?