Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hawajasema,lakini nimekuta option za kuziweka,ndio swali langu lipo hapo je Kuna umuhimu wa kuviweka hapo ?Wamesema wapi wanataka vyeti vya form 4 na six kwenye academic transcript
Mkuu mimi nimeweka transcript tuu ya chuoHawajasema,lakini nimekuta option za kuziweka,ndio swali langu lipo hapo je Kuna umuhimu wa kuviweka hapo ?
Maana nimesoma hata user manual yao hawajaongelea kipengele cha academic transcript Bali wameongelea academic qualifications
Sawasawa.Labda kuna siku watajitokeza na kutoa ufafanuzi.
Hawakubali lazima waone na transIvii wanaruhusu kuapply kwa vyeti cerify bilaa kuw na transcript na ukaptaa yaan nina maan uapply bilaa transcript ukaitw
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kuitwa utumishi kwa style hio Ni sawa na kusubiri upepo upulize ili uone nyeti za kuku.Ivii wanaruhusu kuapply kwa vyeti cerify bilaa kuw na transcript na ukaptaa yaan nina maan uapply bilaa transcript ukaitw
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hahaha ngoja nione nimeapply kwa style iyo nasbr majib ikitokea nimeitwa nitayoa mrejesho ikitokea sijaitwa nitatoa mrejesho piaKuitwa utumishi kwa style hio Ni sawa na kusubiri upepo upulize ili uone nyeti za kuku.
Ushawh kukutan na iyoo situation kwnzHawakubali lazima waone na trans
ImekubaliiiNishaga apply muda sana. Sema iko kipengele cha declaration kiligoma kuweka tiki
Mtu ana vyeti vyote kwann wasiwapatie fursa tu kuliko kubanaNadhani wameamua kuwa VERY SPECIFIC kwenye vigezo vya kazi husika kupunguza wasiohusika, kama una degree dili na wenzako wa degree kama dip au cert likewise
Sister uki -over qualify haufiti kwa kazi husika kila kada ina qualifications zake na wage rate yake hivi ukiajiriwa na degree yako ukalipwa mshahara wa Diploma (maana ndio mahitaji ya mwajiri) hutalalamika upom underpaid?Mtu ana vyeti vyote kwann wasiwapatie fursa tu kuliko kubana