Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hawajasema,lakini nimekuta option za kuziweka,ndio swali langu lipo hapo je Kuna umuhimu wa kuviweka hapo ?Wamesema wapi wanataka vyeti vya form 4 na six kwenye academic transcript
Maana nimesoma hata user manual yao hawajaongelea kipengele cha academic transcript Bali wameongelea academic qualifications