Kwanini wewe peke yako ndio umepewa feedbackDah watoe majina Tu niwe na amani
Kwanza ulifanya interview ya kada gani.. nikuulize jina lako hapa kama lipo..?Sawa[emoji45]
Uwiii kawaidaa Tu nadhan hawaangalii ayo mambo,na lile barid la pale tumewah tk saa 12 mpk unaingia kufanya tushagalagala pale nje aisee ukija kuingia ndan pamoto uko hoi.Kwahyo na huo Uzuri wote uliokuwanao Ila bado wamekuchinjia baharini au ulifanyiwa interview na wanawake wenzio[emoji16][emoji16]
Acha Tu nimeshakosa basi angalau nimepata experience ya interview za utumishi znavokua next time nadhan mambo yatakua vzur.Kwanza ulifanya interview ya kada gani.. nikuulize jina lako hapa kama lipo..?
Kwanza screenshot hapa tuone maana Uzi bila picha haunogi ili tukusaidie vizuri Mrembo Pina
Acha Tu nimeshakosa basi angalau nimepata experience ya interview za utumishi znavokua next time nadhan mambo yatakua vzur.
Mlikuwa wengi sana..?Uwiii kawaidaa Tu nadhan hawaangalii ayo mambo,na lile barid la pale tumewah tk saa 12 mpk unaingia kufanya tushagalagala pale nje aisee ukija kuingia ndan pamoto uko hoi.
OkayUsiamini kua umekosa mpaka majina yatakapo toka. Kati yetu humu sidhani kama kuna mtu wa utumishi, hamna mwenye uhakika. Subiri majina yatoke kwanza
Kwa experience niliyoipata kwenye written maswali yanatoka mengi ya darasani kulingana na kazi ilivyo kwahyo kusoma job description unailink na baadhi ya topics ulizozisoma na pia kuielewa zaidi hyo kazi inahusu nn,kwenye oral nlivyoona hawapo complicate sana lkn pia ni maswali ya darasan in relation na kazi husika na unaweza ambiwa umention points,so unaweza usijibu points kma hukumbuki.Lakini cha muhimu ni kusoma topics husika kulingana na kazi..Honestly mimi kwenye oral kuna maswali sikuweza kujibu points zote nilisahau nyingineTupe basi experience hyo na sisi tujue Pina from written to Oral
Written kma 350,oral almost 60Mlikuwa wengi sana..?
Written ni kujitaid kwenda na muda ufanye maswali yote ata kama hujui points zote atleast ujaze points unazozijua but angalau umefanya maswali yote iki pia nimejifunza kwenye written maana muda unavoenda kma masihara.Tupe basi experience hyo na sisi tujue Pina from written to Oral
😁😁 Wanatoa dakika 40 Ila Ila dakika 30 tu wanakusanya dadeqWritten ni kujitaid kwenda na muda ufanye maswali yote ata kama hujui points zote atleast ujaze points unazozijua but angalau umefanya maswali yote iki pia nimejifunza kwenye written maana muda unavoenda kma masihara.
Ahsante kwa muongozoKwa experience niliyoipata kwenye written maswali yanatoka mengi ya darasani kulingana na kazi ilivyo kwahyo kusoma job description unailink na baadhi ya topics ulizozisoma na pia kuielewa zaidi hyo kazi inahusu nn,kwenye oral nlivyoona hawapo complicate sana lkn pia ni maswali ya darasan in relation na kazi husika na unaweza ambiwa umention points,so unaweza usijibu points kma hukumbuki.Lakini cha muhimu ni kusoma topics husika kulingana na kazi..Honestly mimi kwenye oral kuna maswali sikuweza kujibu points zote nilisahau nyingine