Circuit Breaker
Senior Member
- Mar 31, 2021
- 158
- 347
Nilitoka hapo tarehee 22 mwezi wa sita juzi tuu hapo, nilikua nimevaa safii tuu, sina sweta wala nini. Nilipigwa baridi ambayo sijawai kupigwa tangu nizaliwe. Nilitetemeka paka nikaanza kuumwa kifua, kichwa na kila kiungo cha mwili, nikajua hapa nimesha fail, maana meno yalikua yanagongana nikawa siwezi hata kuongea,Uwiii kawaidaa Tu nadhan hawaangalii ayo mambo,na lile barid la pale tumewah tk saa 12 mpk unaingia kufanya tushagalagala pale nje aisee ukija kuingia ndan pamoto uko hoi.
Uzuri nilikuja kufanya interview saa 8 nimeshaota jua, na nikafanya vizuri tuu kwenye oral.