Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Hebu nitoeni ushamba kidogo,kwani hizi ajira za Tutorial assistant au Assistant lectures si unaweza ukaapply hata kwenye official website za vyuo husika mkaachana na huo mfumo unaoanzishiwa nyuzi za malalamiko zaidi ya mia kwa siku!??..
Halafu acha kuturudisha nyuma bhana. Kazi zote zinaombwa kupitia portal ya Utumishi.. Ingelikuwa hvyo unadhan tungelihangaika hv..?
 
Basi sawa endeleeni na harakati..Halafu usiseme kazi zote sema kazi za Serikali makampuni yanayojielewa yanakuwa na portal zao maalumu kwa ajili ya job applications so nikajua hata vyuo binafsi itakuwa hivyo kwa hizo nafasi za tutorial
 
Hapa tunazungumzia kazi za Serikali wewe.. Sekta binafsi wana mifumo Yao kwanza huwezi kukuta hzi longolongo za kijinga
 
Kama upo dar nenda pale ofisini kwao kwaambie tatizo lako watarekebisha kabla deadline haijafika, mi nilifanya hivo baada ya siku kama tatu kurudia ikakubali, asa sijui shida ni nini?
 
Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.
 
NB: usisahau kusave cheti kilichohakikiwa na wakili
 
Wanashindwa kurun system yao ya ajira portal na mfumo wao haujakaa sawa hata kidogo maana kazi zingine hazionekani kwenye portal
 
Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.
Asante mkuu.
 
Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Ukiwapigia simu hawapokei halafu
 
Kuna mtu nimemuona jana Kkoo , akili yangu ilikuwa inaniambia yule mtu ni wewe kabisaaaa, ila kwa kuwa mjini pale kila mtu na pilika zake, nikasema ngoja nikuache.
Aisee inawezekana instincts ziko vizuri, but why umehisi ni mimi? And not someone else humu?
 
Kuna mtu nimemuona jana Kkoo , akili yangu ilikuwa inaniambia yule mtu ni wewe kabisaaaa, ila kwa kuwa mjini pale kila mtu na pilika zake, nikasema ngoja nikuache.
Pole mkuu,me mbona ilikubali tu fresh?
Sema ungejaribu zaidi na zaidi ingekubali.
 
Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Oya mwamba,mkeka unatoka lini ? Maana Ni mwezi umepita Sasa toka tutume maombi
 
Back
Top Bottom