Kweli mzee kule amna upendeleo ila naona pale kwenye academic wamerekebisha tofaut na mwanzoMfumo kufutwa ni ngumu sana kwa sababu umesaidia sana watoto wa kimaskini kupata ajira mfano mimi mwenyewe nimepata kaz kupitia utumishi sina ninae mjua nmepambana kufa na kupona mungu nae kaniona. Kikubwa mfumo ufanyiwe marekebisho na wengine waweze kuomba kaz bila shida yoyote
Wale walioenda leo dodoma kufanya usaili wa BAKITA ...msanifu lugha na mchunguzi lugha walitoa maswali gani na mangapi?Aisee pole sana hii kitu inasumbua wengi sana na sijui kwaniin
Nakwambia ni disasterHabari zenu Wana Jamvi.
Niende Moja kwa Moja kwenye kichwa Cha habari husika kwamba "Mfumo Wa Kuajiri Kupitia Ajira Portal Uondolewe".
Kwanza mfumo huu sio rafiki kwa wahusika wanaotafuta Ajira maana mfumo unabagua hatujuia walichukua heading za fani/ Kozi kutoka Chuo gani Mfano kuna watu wamesoma na wakapewa vyeti
Bachelor of Electrical Engineering wengine wakasoma Bachelor of Science in Electrical Engineering
Zinapotangazwa nafasi Ajira mfumo unaweza kuwabagua watu hawa kutokana na Title za vyeti vyao na tunasahau kile kipengele Cha relevant qualification hakizingatiwi katika mfumo.
Kingine Mfumo umekatisha ndoto za wahitimu wengi kupata Ajira serikalini Kwanini?
Kuna watu katika stage za kusoma walianzia chini kwamaana Certificate, Diploma, Degree na kuendelea. Mfano una diploma ya Umeme ukajiendeleza ukapata degree ya Umeme maana utakua na cheti Cha diploma pamoja na degree. Unapoweka cheti Cha degree katika mfumo wa Ajira portal hutoweza kuedit na kukitoa na kuomba nafasi ya diploma kama Ajira za diploma zimetangazwa maana yake inalimit watu katika kuomba Ajira Mfumo sio rafiki Bora mfumo wa zamani wa kupeleka barua utaomba nafasi kulikana na level ya elimu yako.
Kuna Mapungufu mengi katika mfumo hasa katika Kozi zinazoendana ikitokea nafasi ya Ajira mfumo unazibagua Kozi hizo ambazo zinaendana.
Nitoe Rai katika Uwongozi wa Mfumo warekebishe mfumo katika kipengere Cha Kozi zinazofanana/relevant qualification Wote waitwe kwenye Usaili washindanishwe.
Kama kurekebishwa itashindikana Mrudishe Mfumo wa zamani Kila Taasisi, Wizara na Sekta nyingine za Serikali ziajiri zenyewe Zisihusishe mfumo wa Ajira portal Sio Rafiki Unawachelewesha vijana katika kutumikia Taifa lao pendwa la Tanzania.
Nawasilisha
Ni wajinga sana mkuuKama vile ambavyo wanafunzi wanaosoma vyuoni kushindwa kuelewa kwamba unaweza kupata kazi kwa kutumia hata module moja tu..ndivyo hivyo hivyo hao watu wa PSRS wanavyokariri kwamba lazima usome accounting nkt hata mtu aliesoma Finance kuna maswala yanamuwezesha kufanya..kwenye accounting
Asante mkuu labda mods wataangalia namna gan wauweke uzi wangu kwenye post yako maana hata mimi nimepiga simu kapokea mdada ambaye kabisa ni kama hajui anachokisema..kuna haja hata ya makatibu siku moja moja kupiga simu za hao jamaa waone watu wao walivo hawana weledi na majukumu yao..iyo system ya kishenzi na kipuuziUdhaifu, Maoni na Mapendekezo kwa Tume ya Ajira "PSRS"
Kwa vijana wengi, hii kitu / tume ya ajira imekua kichefu chefu sana na yanayoendelea yanakatisha tamaa mno. 1. Udhaifu Tume inafanya kazi manual, yaani chaguzi za watahiniwa / wasahili unafanyawa na unaamuliwa na watu. Hii husababisha / huweza sababisha kuwepo kwa upendeleo, kuacha mtu mwenye...www.jamiiforums.com
Udhaifu, Maoni na Mapendekezo kwa Tume ya Ajira "PSRS"
Subiri usiku mtaandao ukikaa vizuri jaribu tena hapo ni ishu ya network tu wala sio kingineWakuu naombenisaada kila ninapo jaribu ku update picha naona Ina load tu lakini haibadiliki. Picha iliyopo saizi niliiweka wakati nipo certificate Sasa haikua ya passport size ilikua ni picha ya kawaida tu ya photo shoot. Kwa anaejua namna ya ku update picha nyingine naomba anisaidie maana kila nikijaribu inagoma msaada wakuu tafadhari
na huenda ushaiupoad sema hiyo search engine ndo inakupa huo mrejesho.Wakuu naombenisaada kila ninapo jaribu ku update picha naona Ina load tu lakini haibadiliki. Picha iliyopo saizi niliiweka wakati nipo certificate Sasa haikua ya passport size ilikua ni picha ya kawaida tu ya photo shoot. Kwa anaejua namna ya ku update picha nyingine naomba anisaidie maana kila nikijaribu inagoma msaada wakuu tafadhari
Sawa ndugu Ila nimekua nilijaribu Mara kadhaa bado inagomaSubiri usiku mtaandao ukikaa vizuri jaribu tena hapo ni ishu ya network tu wala sio kingine
Tumia pc kama cm inazinguaSawa ndugu Ila nimekua nilijaribu Mara kadhaa bado inagoma
Shukrani mkuu itabidi nijaribu njia hii nikifanikiwa ntaleta mrejesho nduguna huenda ushaiupoad sema hiyo search engine ndo inakupa huo mrejesho.
fanya hivi tumia search engine nyingine kulogin kwa mf..kama ulisearch na samsung internet/google now tumia chrome then login...!
Au tumia device nyingine kulogin.Kama ulitumia simu yako kusearch(kuplload) now tumia simu/laptop nyingine kulogin.
then, lete mrejesho.