Ni
Kweli mzee kule amna upendeleo ila naona pale kwenye academic wamerekebisha tofaut na mwanzoMfumo kufutwa ni ngumu sana kwa sababu umesaidia sana watoto wa kimaskini kupata ajira mfano mimi mwenyewe nimepata kaz kupitia utumishi sina ninae mjua nmepambana kufa na kupona mungu nae kaniona. Kikubwa mfumo ufanyiwe marekebisho na wengine waweze kuomba kaz bila shida yoyote