ana certificate na diploma ya kilimo........anataka kutoa hivyo vyeti vilivyoungana aweke kila cheti separately eg na certificate peke yake , diploma peke yake. How do i do it?Sytem haikatai kubadili documents, system inakataaga kubadili level yako ya elimu.
Huyo kijana level ya elimu aliyoweka ndiyo inamfunga, wala siyo document aliyoupload.
Option ya kuedit docs ipo, akiclick hapo kwenye edit itampeleka hapo juu na kuna option ya kuupload doc mpya.ana certificate na diploma ya kilimo........anataka kutoa hivyo vyeti vilivyoungana aweke kila cheti separately eg na certificate peke yake , diploma peke yake. How do i do it?
asante sana successfully done!Option ya kuedit docs ipo, akiclick hapo kwenye edit itampeleka hapo juu na kuna option ya kuupload doc mpya.
View attachment 3066723
Kijana apambane na kuapply sasa👏asante sana successfully done!
Wapigie wao au watumie email watakutatuliaKwenye academic qualification hakuna option ya kudelete kama nimerudia kujaza Mara mbili au zaidi level ya elimu moja nafanyaje wakuu!