ana certificate na diploma ya kilimo........anataka kutoa hivyo vyeti vilivyoungana aweke kila cheti separately eg na certificate peke yake , diploma peke yake. How do i do it?Sytem haikatai kubadili documents, system inakataaga kubadili level yako ya elimu.
Huyo kijana level ya elimu aliyoweka ndiyo inamfunga, wala siyo document aliyoupload.