Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Sytem haikatai kubadili documents, system inakataaga kubadili level yako ya elimu.

Huyo kijana level ya elimu aliyoweka ndiyo inamfunga, wala siyo document aliyoupload.
ana certificate na diploma ya kilimo........anataka kutoa hivyo vyeti vilivyoungana aweke kila cheti separately eg na certificate peke yake , diploma peke yake. How do i do it?
 
Akiedit itakubali.
Atumie Laptop au Computer

Kubadilisha Level ndîo kipengele lakini kubadili au kuweka vyeti inawezekana
 
ana certificate na diploma ya kilimo........anataka kutoa hivyo vyeti vilivyoungana aweke kila cheti separately eg na certificate peke yake , diploma peke yake. How do i do it?
Option ya kuedit docs ipo, akiclick hapo kwenye edit itampeleka hapo juu na kuna option ya kuupload doc mpya.
Screenshot_2024-08-11-11-54-57-402_com.android.chrome-edit.jpg
 
Nawaunga mkono ajira Portal kutokuruhusu kufuta academic qualifications kwa sababu kama hizi za mtoa mada.

Ww una option ya kuomba ajira kwa vyeti viwili, vp umemfikiria ambaye anaweza kuomba ajira kwa cheti kimoja?
 
Kwenye academic qualification hakuna option ya kudelete kama nimerudia kujaza Mara mbili au zaidi level ya elimu moja nafanyaje wakuu!
 
Kwenye academic qualification hakuna option ya kudelete kama nimerudia kujaza Mara mbili au zaidi level ya elimu moja nafanyaje wakuu!
Wapigie wao au watumie email watakutatulia
 
Nawaunga mkono ajira Portal kutokuruhusu kufuta academic qualifications
 
Back
Top Bottom