Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Hiyo upande wa academic qualification imekuwaje? Weka wazi usaidiwe
Kwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipo
 
Afu pia anayejua,kuhusu namba ya nida ukiwa unajaza pale ina sema no.ya nida imeshatumika,na sijawahi tumia sehemu yeyote ile,
 
Kwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipo
Ile system inaruhusu kuongeza kiwango cha elimu yako tu sio kupunguza, kama ukiweka diploma na degree yako pamoja hapo wewe utaweza kuomba nafasi za kazi kwa upande wa degree ya taaluma yako tu na sio vingenevyo mkuu, huwezi kufuta hata ukienda ofcn kwao.
 
Kwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipo
Ambao wanaoweza kufuta ni Utumishi pekee ndio watakupa msaada hivyo nenda ofisini kwao pale Dodoma
 
Mfumo wa ovyo sana huu ajira portal ni collection ya watu wasiofikiria.

Kwa sababau hata vyeti lazima uweke vilivyosainiwa na mwanasheria. Sasa swali ninkwamba mwanasheria hajui chochote kuhusu cheti orijino na fake unampa ahakiki huu si uvivu wa fikra tena zero brain
 
Habari za muda huu wapendwa,

Naomba msaada nahitaji kuedit akaunti yangu lakini sijaipata hiyo option, nahitaji kufuta postgraduate kwenye upande wa education qualification ibaki ya degree peke yake.

Msaada tafadhali
 
Habari za muda huu wapendwa naomba msaada nahitaji kuedit akaunt yangu lakini sijaipata hiyo option, nahitaji kufuta postgraduate kwenye upande wa education qualification ibaki ya degree pekeake. Msaada tafadhali
Hauna Mamlaka hayo Kwa Sasa, wao wenyewe ndio wanaweza kufanya hivyo. Hapo unaacha tu hivyo hivyo.
 
Habari za muda huu wapendwa, naomba msaada nahitaji kuedit akaunti yangu lakini sijaipata hiyo option, nahitaji kufuta postgraduate kwenye upande wa education qualification ibaki ya degree peke yake. Msaada tafadhali
Tra Ndugu wanakutoa udenda Ndugu. Komaa hpo hpo. Kosa limeshafanyika ni ngumu kuondoa.
 
Si kila post unacomment utakavyo wapo walioelewa
 
Habari,

Wanajukwaa nna shida kidogo katika kipengele cha academic qualifications kwenye ajira portal,mara ya kwanza nlieka original documents za vyeti sasa ili kuapply inabidi nieke certified copies za vyeti,sasa nkizi upload hizo certified documents na zile original certificates zinabaki.

Je, apo ninakosea au ni sawa zinahitajika zote certified copies na original vyeti

Naombeni ushauri apo wanajukwaa[emoji1488]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…