Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Wapigie simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi asilimia Mbona kwangu zimegoma kwenye 60% tuuProfile completeness yako ni % ngapi?
Kuanzia 70% ndo itaanza kukubaliHizi asilimia Mbona kwangu zimegoma kwenye 60% tuu
Kwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipoHiyo upande wa academic qualification imekuwaje? Weka wazi usaidiwe
Ile system inaruhusu kuongeza kiwango cha elimu yako tu sio kupunguza, kama ukiweka diploma na degree yako pamoja hapo wewe utaweza kuomba nafasi za kazi kwa upande wa degree ya taaluma yako tu na sio vingenevyo mkuu, huwezi kufuta hata ukienda ofcn kwao.Kwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipo
Ambao wanaoweza kufuta ni Utumishi pekee ndio watakupa msaada hivyo nenda ofisini kwao pale DodomaKwa mfano uliweka academic qualification labda una diploma na degree sasa unataka ufute moja ibaki nyingine nafanyeje maana option ya delete haipo. Vipengele vyote ipo ila kwenye academic qualification haipo
Mfumo wa ovyo sana huu ajira portal ni collection ya watu wasiofikiria.Ile system inaruhusu kuongeza kiwango cha elimu yako tu sio kupunguza, kama ukiweka diploma na degree yako pamoja hapo wewe utaweza kuomba nafasi za kazi kwa upande wa degree ya taaluma yako tu na sio vingenevyo mkuu, huwezi kufuta hata ukienda ofcn kwao.
Zimegoma kufika mkuu,nipe siri ya kuzipandishaKuanzia 70% ndo itaanza kukubali
Hauna Mamlaka hayo Kwa Sasa, wao wenyewe ndio wanaweza kufanya hivyo. Hapo unaacha tu hivyo hivyo.Habari za muda huu wapendwa naomba msaada nahitaji kuedit akaunt yangu lakini sijaipata hiyo option, nahitaji kufuta postgraduate kwenye upande wa education qualification ibaki ya degree pekeake. Msaada tafadhali
Tra Ndugu wanakutoa udenda Ndugu. Komaa hpo hpo. Kosa limeshafanyika ni ngumu kuondoa.Habari za muda huu wapendwa, naomba msaada nahitaji kuedit akaunti yangu lakini sijaipata hiyo option, nahitaji kufuta postgraduate kwenye upande wa education qualification ibaki ya degree peke yake. Msaada tafadhali
Huwez kuona maana apa ni mrusi na mtu wa ukrainSioni kama kuna tatizo kwenye maombi, elezea tatizo hapa tukusaidie
Si kila post unacomment utakavyo wapo walioelewamjomba apo utakuta category husika imemtema yeye ana computer engineering anomba system administrator wanataka computer science, IT au ICT eti computer engineering hana vigezo daaa psrs hawa
kuna raia kasoma business admnistration nilikua namuombea nafasi TRA eti kwenye nafasi ya customs officer category wameinclude business administration ila ukiomba nafasi ya tax management officer inagoma business administration inakua excluded sasa unafikoria hawa psrs wametumia vigezo gani kuweka bussiness administration kwenye nafasi ya customs hlf tax managemnet hawajawek daaa systeam yao haifai kabisaaa