Natumia firefox tayari niliweka original sasa nataka weka copy zenye mihuri ya mwanasheriaUnatumia App au uko online/chrome etc
Uliwahi kuweka vyeti ambavyo sio certified ?
Kwa transcript na birth certs zimekubali ila zile zingine hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia firefox tayari niliweka original sasa nataka weka copy zenye mihuri ya mwanasheriaUnatumia App au uko online/chrome etc
Uliwahi kuweka vyeti ambavyo sio certified ?
Jaribu kutumia chrome halafu angalia na size ya mb ya kila cheti jitahidi ziwe ndogo chini ya 1mb means kbNatumia firefox tayari niliweka original sasa nataka weka copy zenye mihuri ya mwanasheria
kwa transcript na birth certs zimekubali ila zile zingine hamna...
transcript ilikuwa na 350kb imeingiaJaribu kutumia chrome halafu angalia na size ya mb ya kila cheti jitahidi ziwe ndogo chini ya 1mb means kb
kaka ahsante vimeonekana sasa kwenye chrome nadhani shida ilikuwa browser ya firefox haiendani na mfumo wao ahasante broJaribu kutumia chrome
Pamoja sana. Always tumia chrome iko poa sana.kaka ahsante vimeonekana sasa kwenye chrome nadhani shida ilikuwa browser ya firefox haiendani na mfumo wao ahasante bro
badili browser tumia chrome nadhani ni mambo ya cacheHata kwangu nina tatizo kama lako sehemu ile ya kuweka cheti cha form four niliapload document ambayo sio cheti, kuitoa hii document ili niweke cheti inanigomea kama wewe.
Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?Weka vitu vya muhimu vinavyohitajika angalau ufike 75%..
huwezi kudeclare wakat hujamaliza kujaza vinavyohitajika.. Kelvin Halinga
Watu wanaiba.. Huoni ishu za vyeti feki? Certified means uyo mwanasheria amekubali kuwa izo copy za original ni za kwako... Kwaio kama utacertify vyeti sio vyako na uyo advocate akakubali ilo ni swala lingine tena mkuu.Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?
Kuna sababu yoyote ya kitaalamu?