Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Unatumia App au uko online/chrome etc
Uliwahi kuweka vyeti ambavyo sio certified ?
Natumia firefox tayari niliweka original sasa nataka weka copy zenye mihuri ya mwanasheria

Kwa transcript na birth certs zimekubali ila zile zingine hamna
 
Natumia firefox tayari niliweka original sasa nataka weka copy zenye mihuri ya mwanasheria

kwa transcript na birth certs zimekubali ila zile zingine hamna...
Jaribu kutumia chrome halafu angalia na size ya mb ya kila cheti jitahidi ziwe ndogo chini ya 1mb means kb
 
Jaribu kutumia chrome halafu angalia na size ya mb ya kila cheti jitahidi ziwe ndogo chini ya 1mb means kb
transcript ilikuwa na 350kb imeingia
birth cert 254kb imeingia
hizi zingine zote zina chini ya 170kb
 
Hata kwangu nina tatizo kama lako sehemu ile ya kuweka cheti cha form four niliapload document ambayo sio cheti, kuitoa hii document ili niweke cheti inanigomea kama wewe.
 
Hata kwangu nina tatizo kama lako sehemu ile ya kuweka cheti cha form four niliapload document ambayo sio cheti, kuitoa hii document ili niweke cheti inanigomea kama wewe.
badili browser tumia chrome nadhani ni mambo ya cache
 
Wakuu poleni na majukumu msaada kwa wajuvi kama inavoonesha apo kichwa cha thread ,Mwanzo nili update original certificates nilipoomba ajira nikakataliwa nakuambiwa cjaweka certified certificates,
tatizo linapokuja kila niki edit naku upload crtfied sasa majibu inayonipa ni ayo apo chini msaada
 
Attachments

  • 3DC3369F-CAB8-45BF-89DA-89C39F78B39B.png
    3DC3369F-CAB8-45BF-89DA-89C39F78B39B.png
    84.8 KB · Views: 75
1) Time limit ya kujaza ulibakiza au iliisha?
2) Je bado wanapokea maombi au kiwango chao kimefika na kuzuwia maombi yako kwenda?.
3) Internet connection ilikuwapo au iliondoka hafla?.
4) Ulijaribu tena kutuma ilikuja hivyo hivyo?
5) Sehemu husika zote ulijaza ndio uka submit?
 
Ninashida hapa kwenye ajira portal, ya kwanza; unatakiwa kufika asilimia ngapi ndio uweze kuapply kazi ambazo zinatolewa na utumishi?

Pili; nikibonyeza kitufe cha declaration kwenye ajira portal pale hakitaki tatizo huwa ni nini? Msaada tafadhari kwa anayejua
 
Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?

Kuna sababu yoyote ya kitaalamu?
Watu wanaiba.. Huoni ishu za vyeti feki? Certified means uyo mwanasheria amekubali kuwa izo copy za original ni za kwako... Kwaio kama utacertify vyeti sio vyako na uyo advocate akakubali ilo ni swala lingine tena mkuu.
 
naombeni msaada wakuu Kila ninapojalibu kufungua email kwaajili ya ajira portal inagoma nifanyeje nisadieni jamani
 
Back
Top Bottom