Musangaa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 407
- 490
Kwanini ku certify?? Hiki kipengele wakiangalie upya.
Vpy lkn Mkuu ulikuwa ulishacertify vyeti kwa mwanasheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vpy lkn Mkuu ulikuwa ulishacertify vyeti kwa mwanasheria
Ajaribu mara kadhaa ni masuala ya mtandao,system imelemewaDuuu kuna dogo kaja hapa nimsaidie mi kiukweli cjui..kwenye academic qualificatin kaandika master degree wakati hana,sasa anataka kufuta ngoma hamna pa kufutia...
Hapo hawezii kufuutaa Hiyo option haipo ni mpaka awapigie simu PSRS wamfutieeeDuuu kuna dogo kaja hapa nimsaidie mi kiukweli cjui..kwenye academic qualificatin kaandika master degree wakati hana,sasa anataka kufuta ngoma hamna pa kufutia...
Mbona namba zao zipo ukiwa na changamoto yeyote nikuwapigiaa tuuAliyeanzisha Ajira portal, amewanyima sana kazi vijana, mfumo hauelewi ndani ya degree za watu, hao watu wamesoma vitu gani
Hiyo lazima awapigie mkuu ule mfumo ukishaandika qualifications hakuna option ya kufuta unaweza kuedit fani tuu but sio kiwango Cha elimu ukiweka umewekaa mpaka uwasiliane nao wakufutieeAjaribu mara kadhaa ni masuala ya mtandao,system imelemewa
naomba msaada wa number zao mkuuMbona namba zao zipo ukiwa na changamoto yeyote nikuwapigiaa tuu
mfumo wa kijinga sana aseeeHiyo lazima awapigie mkuu ule mfumo ukishaandika qualifications hakuna option ya kufuta unaweza kuedit fani tuu but sio kiwango Cha elimu ukiweka umewekaa mpaka uwasiliane nao wakufutiee
Siwajui lete abcheeUnawajua utumishi wewe?