ideakid
Member
- Sep 28, 2016
- 5
- 2
Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi wanashindwa hata ku-loign baada ya kuwa wameshajisajili.
Mwaka huu (2025):
Mwaka jana (2024)- Baadhi ya post kwa mwaka uliopita ni hizi hapa:
Well, tunahitajiana, hatuwezi wote kuwa na fani za aina moja. Vijana, mnaweza pitia post hii na pengine mtapata mawili matatu.
Mwaka huu (2025):
Mwaka jana (2024)- Baadhi ya post kwa mwaka uliopita ni hizi hapa:
- Nashindwa Kuapply Kazi ya Ualimu kupitia Ajira Portal
- Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified
- KERO - Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii
- KERO - Watoa Huduma Ajira Portal hawapokei simu, tunashindwa kufanya mabadiliko kwenye portal
Well, tunahitajiana, hatuwezi wote kuwa na fani za aina moja. Vijana, mnaweza pitia post hii na pengine mtapata mawili matatu.
- Kuhusu ajira portal login and registration
- Kuhusu ajira portal registration....
- Nafasi za kazi Serikalini na Sekta Binafsi - Ajira Portal (ni wavuti binafsi, sio ya serikali).
- Nafasi za kazi sekta binafsi na serikalini, tembelea Kazi Portal.
- Nafasi za kazi East Africa, Online (Remote) Freelancing Jobs cheki Kili Jobs.
- Nafasi za Scholarships, kwa mnaotaka kujiendeleza kimasomo ndani na nje ya nchi, cheki scholarx.cc