At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,568
- 3,644
Habari za asubuhi ndugu.
Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu.
Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze kuhuisha mfumo wao uweze kupata data kutoka TCU moja kwa moja na mamlaka zingine za mafunzo.
Ila ninaomba msaada nimekwama taarifa za TCU hazioani na za kwangu kwa namba ya kidato cha nne, imewekwa namba ya mtu mwingine badala ya namba yangu. Sasa nawezaje kurekebisha hili na ni nani naeweza kuwasiliana nae arekebishie, je ni hao magereza, TCU au chuo nilichosoma?
Muwe na wakati mwema.