Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha huwa yanabadirika na kuboreka , lakini private sector wengi hubaki walivyokuwa na watu wenye msongo wa mawazo huoni kipato Chao kikiongezeka na wanakuwa na hofu ya kufukuzwa kazi, shida n nini hapo,nimekutana na watu wengi walio private sector Wana regret na wanatamani kuajiriwa serikalini , huwa najiuliza nini shida ya private sector kwa wajiriwa
 
Sekta binafsi mbona umeiacha inaelea maana serikalin umetaja ajira serikali za mitaa
 
Ni taasisi chache sana za sekta binafsi zinazolipa vizuri.. kupata ajira taasisi hizo ni kazi ngumu sana maana taasisi hizo huwa zina staff wachache sana hawazidi 300.

Mfano vodacom, sigara, total, etc
 
Minimum wage ya serikali unaweza kuishi ila sekta binafsi Minimum wage unalipa kodi na nauli tu. Sekta binafsi ni wachache sana wanalipwa vizuri wengi wanapewa peanut tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…