mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha huwa yanabadirika na kuboreka , lakini private sector wengi hubaki walivyokuwa na watu wenye msongo wa mawazo huoni kipato Chao kikiongezeka na wanakuwa na hofu ya kufukuzwa kazi, shida n nini hapo,nimekutana na watu wengi walio private sector Wana regret na wanatamani kuajiriwa serikalini , huwa najiuliza nini shida ya private sector kwa wajiriwa