AJIRA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri Kwa vijana baada ya kumaliza vyuo

Kwa sasa vyuo vimekuwa vingi vinazalisha wasomi wengi kulipo ajira ingetakiwa serikali ifanye utaratibu wa kuwezesha hao wasomi kuwapatia mitaji waweze kuanzisha miradi wajiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…