Sheria ya ajira inasemaje juu ya umri
Acha kupotosha , public service act inaruhusu mwisho 45.Kutumika katika public service ni 30 years unastafu,
Mathematicaly:-
35years+30 years= 65years
Now.
Kwa Kuwa umri wa kustaafu ni pale unapofikia miaka 60,
Therefore,
Kuanzia umri wa miaka 35 kwenda juu hana sifa ya kuajiliwa katika public service.
N:B
Utaratibu huu hautumiki katika vyeo vya kuteuliwa
Hilo tangazo la kitapeli utawanasisha wenzio
kuna uwezakano mkubwa pia yupo kulitangazaMkuu weka mbali na watoto hilo tangazo la ajira za "MDA"..
Ni matapeli wakubwa!
Pamoja na kuhoji, je hilo tangazo ni sahihi/genuine?Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
View attachment 1756803
Nani kasema.Kutumika katika public service ni 30 years unastafu,
Mathematicaly:-
35years+30 years= 65years
Now.
Kwa Kuwa umri wa kustaafu ni pale unapofikia miaka 60,
Therefore,
Kuanzia umri wa miaka 35 kwenda juu hana sifa ya kuajiliwa katika public service.
N:B
Utaratibu huu hautumiki katika vyeo vya kuteuliwa
Duuh, wahuni sana walitaka kumpiga pesa eti ya nauli jamaa angu...SHE-N-ZYkuna uwezakano mkubwa pia yupo kulitangaza
Mkuu unataka kuwatapeli watoto wetu, sivyo? Tangu lini serikali ni ikatumia barua pepe ya namna hiyo we mbwaa?Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
View attachment 1756803