Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

Ukisikia wolrd against you ndio hii
 
Ukizidi 35 pambana upate teuzi, kafungue kanisa ule madhabauni au kashike jembe ulime πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bangi ikichanganyanywa na ugoro ni noma
 

Umerefer sheria ipi

Kidogo ungesema kuwa, muda wa kustaafu kwa lazima ni miaka 60

na kwa sheria ya hifadhi ya jamii ili ulipwe penshen inabidi uchangie angalau miaka 15

hivyo umri wa miaka 35 siyo sahihi

angalau wangesema 45

45+15=60

Ukomo wa miaka 35 unakwenda kinyume na katiba ya JMT, SHERIA YA kazi na hata sheria za utumishi wa umma, kuna haja ya kufanya mabadiliko
 
Kwa sheria ipi?

Kuna wanao staaf na umri wa miaka 65 katika baadhi ya kada... Kuna wanao ongezewa muda wa kufanya kazi kwa mikataba hata kama tayari amesha staaf

Kamcheki mashilingi/masilingi ana umri gani...

Kuna matangazo mengi ya utumishi haya ruhusu ajira hizi kwa wenye umri zaidi ya miaka 45...

Kama ilivyo kuwa hairuhusu ajira kwa wenye umri chini ya miaka 18 labda kwa taratibu maalum kwa mujibu wa sheria
 

Hilo tangazo ni la UONGO. Matapeli at work. You have been warned!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…