Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Habari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.
Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?
-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.
-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.
-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.
-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.
-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.
Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.