AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

Nchii hii soko la ajira halitazami unafahamu nini, linatazama unamfahamu nani. Kama huna connection, hata uwe na GPA ya 5.0 utaendelea kusugua lami hadi viatu viishe soli. Mfumo wa kujuana umeua kabisa ushindani wa haki na kuwakatisha tamaa wenye akili.
Hiko lakin sio chanzo mkuu, chanzo cha tatizo hili au mzizi ni muundo! Muundo uliopo kwenye mfumo wa ajira unatokea katika ngazi ya elimu na ndan yake kuna pyramid scheme yan kila ukieenda juu nafas zinakua chache
 
Habari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .

Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?

Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.

Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?

-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.

-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.

-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.

-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.

-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.

Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.
Tatizo kubwa ni watu kuona mtu aliye na ajira ni Mfanyakazi Serikalini. Mfanyakazi wa sekta binafsi anaonekana/ anajiona bado anatafuta kazi. Ukimdodosa zaidi atakueleza nimejishikiza sekta binafsi ingawa analipa PAYE na NSSF
 
Hiko lakin sio chanzo mkuu, chanzo cha tatizo hili au mzizi ni muundo! Muundo uliopo kwenye mfumo wa ajira unatokea katika ngazi ya elimu na ndan yake kuna pyramid scheme yan kila ukieenda juu nafas zinakua chache
Uko sahihi kabisa lakini ukweli ni kwamba, hakuna serikali au nchi duniani inayoweza kutengeneza ajira za kutosha kila mtu akae maofisini, hata huko Marekani piramidi ipo. Kosa letu ni kufikiri muundo utatanuka siku moja ukue. The harsh reality ni kwamba inabidi tuchomoke kwenye huo mfumo. Kama nafasi za juu ni chache, blue collar jobs na sekta binafsi ndio muundo mbadala.
 
Bado haitoshi mkuu, mana muundo umejijengea uchache wa nafasi. Kuna kitu hapo hujakielewa vizur mkuu focus kwenye kuutazama muundo tena
 
Watanzania na waafrika wote kwa ujumla hawajui tatizo nini kwa sababu ya colonial education ilitugawanya. Hata wazungu wenyewe hawaamini the bullshit is working until today. Watu waliotuweka kwenye hii situation wako tayari
kutuachia hii Africa yetu.
Africa inaharibiwa na adabu za kale na hiyo ndio point clear.
Accept critism, let people have their opinions and be vulnerable a little bit. Wanatuharibia nchi hakuna ajira kwasababu ya ubinafsi. How can we move on wakati huyu Mrs not so President is so fuckin dumb (and narcissistic too)
Juzi kulikuwa kuna topic ilitrend sana kwamba watoto wa Dar es salaam ni washamba kwasababu wanaongea sana kuhusu Dar and blah blah blah.
Kwa taarifa yenu, watoto wa ki-dar es salaam tulijuwa before all this to happen. Kabla ya TANU, kulikuwa TAA ndio matokeo ya CCM.
Out of topic:
Watu wa Dar es salaam mtuache tu kwenye hizo hasira zenu. Babu zetu ndio waliochukua uhuru wa Tanyika na ushahidi upo, familia ya Aziz, familia ya wakina Sykes, wakina Bibi Titi Mohamed. Okay okay, mtu mmoja muhimu jina lake Madrid siku zinavyokwenda jina lake lina fifa, Mungu amrehem Shabaan Robert. Amrehemu sana kwasababu taught me a lot.
Last and this for Maxence Melo

We happy with all the updates with the app, but did you think about live voice chat or something like that. Because I would like to meet people in different topics we challenge each other
 
Tuongeze entrepreneurship, sera za kupunguza gharama za mikopo zitasaidia watu kuchukua mikopo na kufungua biashara, kodi zipunguzwe na sheria za kulinda mali na biashara za watu ziimarishwe pia, nchi iweke kipaumbele kwenye uwekezaji wa umeme na miundombinu, kazi zitaongezeka sana, mwisho CCM waache ujinga
 
Habari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .

Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?

Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.

Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?

-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.

-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.

-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.

-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.

-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.

Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.
Chama cha mapinduzi
 
I think changamoto kubwa, inakuwa pale kwenye vyanzo au sources ya kuona hayo matangazo.... kama kungekuwa na centralize point ya ajira zinazotangazwa na private sector au makampuni mbalimbali, i think ingekuwa vyema sana .... hizi za ss hivi ambazo zipo hazifocus pia na job seeker experience too, many ads, too many redirects kwenfa kwenye site mbalimbali ..... if your are looking for a job ... i recommend the website ya hawa watu besttalentreach.com ... these guys wapo vzuri sana
 
Back
Top Bottom