Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
CcmHabari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.
Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?
-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.
-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.
-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.
-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.
-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.
Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.
Public property embezzlementPoints ni zilezile:
1. Lack of Capital
2. Poor infrastructure
3. ...........
Wengine waendelee
Uzi ufungwePublic property embezzlement
Poor energy supply
Low level of technology
Poor marketing
Poor government support
Lack of enough personnel ( expert)
Corruption
Poor system of education
Poverty
Poor leadership
Umemaliza kabisaPublic property embezzlement
Poor energy supply
Low level of technology
Poor marketing
Poor government support
Lack of enough personnel ( expert)
Corruption
Poor system of education
Poverty
Poor leadership
π
View attachment 3648167ππ
Mkuu unazinguaπππ
Shukrani mkuu kwa mchango mzuriLazima mkubali hili , huu ni ukweli ili kupata ajira za uhakika ni lazima serikali iwe ina'control ya mashirika mengi ..Mnadanganywa sana na uwekezaji ila ilitakiwa serikali kumiliki mashirika hata buku , hayo 300 ni machache. Kwa sababu zifuatazo :
1. serikali inatoa ajira za uhakika , huko private ni kupoteza muda na kunyanyaswa hasa hapa bongo . kibongo bongo kuajiriwa serikalini iwe Tamisemi, Halmshauri au taasisi zake angalau kuna afadhali kuliko private . Private unaajiriwa hata ulipwe pesa ndefu , ajira inaweza kukoma bila ya kutaraji .
2. Serikalini kuna uhuru mkubwa , japo baadhi ya sheria kama haki za likizo , uhamisho hazifuatwi ila hili linatokana na udhaifu wa watendaji , tukiongea ukweli sheria za utumishi wa umma zimenyooka, zinamlinda vizuri mtushi .
Mimi ningeomba serikali iwe na mawala na mashirika kila kona ili angalau watu wawe na ajira za uhakika , nchi kama china makampuni kama yote yanamilikiwa na serikali , tusidanganyane na uwekezaji kwa sababu wawekezaji wanakuja kupata faida na kunyanyasa watumishi. Serikali hii nayo inaendelea kuwapa private kila kitu ila ukweli private wananyanyasa wafanayakazi , so watu hawachulii private kama ajira za uhakika.
Hili lipo sana mkuuUfinyu wa kukosa ubunifu na maono kimo cha mbilikimo
Naona umemaliza kila kitu mkuuPublic property embezzlement
Poor energy supply
Low level of technology
Poor marketing
Poor government support
Lack of enough personnel ( expert)
Corruption
Poor system of education
Poverty
Poor leadership