Hawa jamaa wanapunguza mashirika ila ukweli hao wawekezaji wananyanyasa watumishi , bora serikali iweke KPI's watendaji wakishindwa wanafukuzwa kwenye shirika kuliko kuyafuta .Shukrani mkuu kwa mchango mzuri
Kwanini mkuu😅Mkuu unazingua😄😄😄
Naona umeamua ufunge mjadalaKwanini mkuu😅
Hiko lakin sio chanzo mkuu, chanzo cha tatizo hili au mzizi ni muundo! Muundo uliopo kwenye mfumo wa ajira unatokea katika ngazi ya elimu na ndan yake kuna pyramid scheme yan kila ukieenda juu nafas zinakua chacheNchii hii soko la ajira halitazami unafahamu nini, linatazama unamfahamu nani. Kama huna connection, hata uwe na GPA ya 5.0 utaendelea kusugua lami hadi viatu viishe soli. Mfumo wa kujuana umeua kabisa ushindani wa haki na kuwakatisha tamaa wenye akili.
Tatizo kubwa ni watu kuona mtu aliye na ajira ni Mfanyakazi Serikalini. Mfanyakazi wa sekta binafsi anaonekana/ anajiona bado anatafuta kazi. Ukimdodosa zaidi atakueleza nimejishikiza sekta binafsi ingawa analipa PAYE na NSSFHabari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.
Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?
-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.
-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.
-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.
-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.
-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.
Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.
Uko sahihi kabisa lakini ukweli ni kwamba, hakuna serikali au nchi duniani inayoweza kutengeneza ajira za kutosha kila mtu akae maofisini, hata huko Marekani piramidi ipo. Kosa letu ni kufikiri muundo utatanuka siku moja ukue. The harsh reality ni kwamba inabidi tuchomoke kwenye huo mfumo. Kama nafasi za juu ni chache, blue collar jobs na sekta binafsi ndio muundo mbadala.Hiko lakin sio chanzo mkuu, chanzo cha tatizo hili au mzizi ni muundo! Muundo uliopo kwenye mfumo wa ajira unatokea katika ngazi ya elimu na ndan yake kuna pyramid scheme yan kila ukieenda juu nafas zinakua chache
Bado haitoshi mkuu, mana muundo umejijengea uchache wa nafasi. Kuna kitu hapo hujakielewa vizur mkuu focus kwenye kuutazama muundo tenaUko sahihi kabisa lakini ukweli ni kwamba, hakuna serikali au nchi duniani inayoweza kutengeneza ajira za kutosha kila mtu akae maofisini, hata huko Marekani piramidi ipo. Kosa letu ni kufikiri muundo utatanuka siku moja ukue. The harsh reality ni kwamba inabidi tuchomoke kwenye huo mfumo. Kama nafasi za juu ni chache, blue collar jobs na sekta binafsi ndio muundo mbadala.
Naelewa sana Mkuu muundo umejengewa uchache wa nafasi ili kulinda waliopo juu wasishuke, wewe unashaurije?Bado haitoshi mkuu, mana muundo umejijengea uchache wa nafasi. Kuna kitu hapo hujakielewa vizur mkuu focus kwenye kuutazama muundo tena
Chama cha mapinduziHabari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano, mwajiri anaweza kuwa na nafasi lakini akakosa mtu mwenye skills anazohitaji, wakati upande mwingine kijana ana degree lakini amekaa muda mrefu bila kupata kazi.
Wewe unaona tatizo kubwa liko wapi?
-Ajira ni chache ukilinganisha na idadi ya wanaotafuta kazi.
-Vijana wengi wana qualifications lakini hawana practical skills.
-Mfumo wa elimu hauendani na mahitaji ya soko.
-Waajiri wanataka experience hata kwa fresh graduates.
-Vijana hawajitahidi kujiajiri/kuanzisha biashara.
Tujadili kwa hoja, hasa wale ambao wameajiriwa, wamewahi kutafuta ajira au kuajiri wengine.
Uko sahihiHawa jamaa wanapunguza mashirika ila ukweli hao wawekezaji wananyanyasa watumishi , bora serikali iweke KPI's watendaji wakishindwa wanafukuzwa kwenye shirika kuliko kuyafuta .
I think changamoto kubwa, inakuwa pale kwenye vyanzo au sources ya kuona hayo matangazo.... kama kungekuwa na centralize point ya ajira zinazotangazwa na private sector au makampuni mbalimbali, i think ingekuwa vyema sana .... hizi za ss hivi ambazo zipo hazifocus pia na job seeker experience too, many ads, too many redirects kwenfa kwenye site mbalimbali ..... if your are looking for a job ... i recommend the website ya hawa watu besttalentreach.com ... these guys wapo vzuri sanaHabari wana jf ,