Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts ikaniohopesha kidogo kama picha inavyoonyesha msaada kwa wajuvi kama hii ni kweli au matapeli.....ila link tajwa inakupeleka kwenye website ya tume kabisa...naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • IMG-20250509-WA0006.jpg
    IMG-20250509-WA0006.jpg
    49.3 KB · Views: 28
Screenshot_20250510_072750_Samsung Internet.jpg
dj naomba wimbo wa miso misondo kitu kizito
 
Jenga utaratibu wa kuwasiliana na mtendaji pamoja na mkurugenzi eneo lako unaloishi Hawa huwa wanataarifa sana
Anyway ni fake news
 
Back
Top Bottom