- Thread starter
- #21
Mkuu tofautisha fee attached na fee payable ni vitu viwili tofauti, hapo umeona account yote ya kulipia hiyo pesa? Jifunze aina za International applicationsFee ni milioni moja na laki Tano na Kuna watu watatoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tofautisha fee attached na fee payable ni vitu viwili tofauti, hapo umeona account yote ya kulipia hiyo pesa? Jifunze aina za International applicationsFee ni milioni moja na laki Tano na Kuna watu watatoa
Wewe una chuki tu uelewi kitu hapo.Hakuna kobazi mwenye vigezo hivyo,wengi wanajua kutoa majini ndio uwezo wao ulipishia na kukariri kiarabu.
Upigaji rajuun warabakate!Wezi hao wasiache kuwachukuwa waarabu wenye dini yao waje kuwachukuwa wabongo mmh kuna upigaji rajuun
Likud wewe ni mtoto wa town🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hiyo English ndo mtihani kwa wasomi wengi.VACANCY
Chief Imam is needed at One Mosque in Scotland, United Kingdom.
Requirements:
1. You must have 60hizb of the Holy Qur'an.
2. You must have knowledge of Fiqh, Hadith, Sira, and other books of Islam.
3. You must have knowledge of English, as you can read, speak, and listen
4. You must have an international passport
There is an interview organized by the mosque management.
Free Visa
Free ticket
Free Accommodations
Free Food and free health insurance
With Good Monthly Salary of €8000.
Fees attached: 1.5M only.
You will be paid when you pass the interview, which means no upfront payment until after you succeed in the interview.
Interested individuals should send me this information via email:
1. International passport
2. Full name
3. Home address
4. Photo with white background
5. Email address
6. Phone number
When you send it, the subject of your email should be "Application for Chief Imam".
Send it to this email: abusultaninternationalpathfind@gmail.com
Signed by:
Alphazazee Abdulhamid Muhammad.
CEO Abu Sultan International Pathfinder.
Duh nilitaka nijichanganye sheikh kumbe ningepigwa?Hawa majamaa ni wapigaji wamepiga sana watu Dizonga.
So be informed
Mtoto wa Mzee MagembeDuh nilitaka nijichanganye sheikh kumbe ningepigwa?
Asante umenisanua
Ila tu usiniulize lile swali lako la novena
Novena mimi nilisali tu
Wallah wabillah taufiq
😂😂Duh nilitaka nijichanganye sheikh kumbe ningepigwa?
Asante umenisanua
Ila tu usiniulize lile swali lako la novena
Novena mimi nilisali tu
Wallah wabillah taufiq
Tushushie kwanza somo la nafsi humu ndaniMtoto wa Mzee Magembe
Makes me wonder kama ajira / fursa ni ya mtaka kuwa Imamu au mtoa tangazo hizo fees ni za nini ? Hata kama wanasema utatoa ukishinda interview, kwanini wazisikate kwenye mshahara wa mwanzo (first salary)
Fees attached: 1.5M only.
Processing fee baada ya kufanikiwa kulipia gharama za matangazo na documentsMakes me wonder kama ajira / fursa ni ya mtaka kuwa Imamu au mtoa tangazo hizo fees ni za nini ? Hata kama wanasema utatoa ukishinda interview, kwanini wazisikate kwenye mshahara wa mwanzo (first salary)
Wanahitaji Imamu wangapi na wangapi watashinda interview na kushinda interview does it mean ndio umeshinda kazi ? Na processing fee itachukuliwa kwa walioshinda Interview au waliopata Kazi ?Processing fee baada ya kufanikiwa kulipia gharama za matangazo na documents
Wapo wengi tuTanzania ni ngumu kupata shekhe mwenye sifa hizo kwa sababu wengi wao hawapendi kusoma kiutaratibu (vyuoni).
Anaweza kujua fiqhi, sharia, historia ya mtume (sira) lakini basic
Yule ambae atafanikiwa ndo atakatwa hizo processing fee kwenye mshahara wake kwa instalmentWanahitaji Imamu wangapi na wangapi watashinda interview na kushinda interview does it mean ndio umeshinda kazi ? Na processing fee itachukuliwa kwa walioshinda Interview au waliopata Kazi ?
Kwahio mtu anakatwa kwenye mshahara wake na sio kulipa ili aje apate mshahara ? Tuseme ni Agency FeeYule ambae atafanikiwa ndo atakatwa hizo processing fee kwenye mshahara wake kwa instalment
Naona ni agency fee .Kwahio mtu anakatwa kwenye mshahara wake na sio kulipa ili aje apate mshahara ? Tuseme ni Agency Fee
Watu wamesoma ndg Wana degree Toka vyuo vya huko uarabuni. Ila sema ni kuwa makini na matapeli maana 1.5 M ni nyingi kutapeliwaTanzania ni ngumu kupata shekhe mwenye sifa hizo kwa sababu wengi wao hawapendi kusoma kiutaratibu (vyuoni).
Anaweza kujua fiqhi, sharia, historia ya mtume (sira) lakini basic