Ajira ya kuwa Imamu mkuu kuna nchini Scotland ni Fursa kwa WaTanzania wenye sifa

Ajira ya kuwa Imamu mkuu kuna nchini Scotland ni Fursa kwa WaTanzania wenye sifa

Fee ni milioni moja na laki Tano na Kuna watu watatoa
Mkuu tofautisha fee attached na fee payable ni vitu viwili tofauti, hapo umeona account yote ya kulipia hiyo pesa? Jifunze aina za International applications
 
Hakuna kobazi mwenye vigezo hivyo,wengi wanajua kutoa majini ndio uwezo wao ulipishia na kukariri kiarabu.
 
VACANCY
Chief Imam is needed at One Mosque in Scotland, United Kingdom.

Requirements:
1. You must have 60hizb of the Holy Qur'an.
2. You must have knowledge of Fiqh, Hadith, Sira, and other books of Islam.
3. You must have knowledge of English, as you can read, speak, and listen
4. You must have an international passport

There is an interview organized by the mosque management.

Free Visa
Free ticket
Free Accommodations
Free Food and free health insurance
With Good Monthly Salary of €8000.

Fees attached: 1.5M only.

You will be paid when you pass the interview, which means no upfront payment until after you succeed in the interview.

Interested individuals should send me this information via email:
1. International passport
2. Full name
3. Home address
4. Photo with white background
5. Email address
6. Phone number

When you send it, the subject of your email should be "Application for Chief Imam".

Send it to this email: abusultaninternationalpathfind@gmail.com

Signed by:
Alphazazee Abdulhamid Muhammad.
CEO Abu Sultan International Pathfinder.
Hiyo English ndo mtihani kwa wasomi wengi.
 
Fees attached: 1.5M only.
Makes me wonder kama ajira / fursa ni ya mtaka kuwa Imamu au mtoa tangazo hizo fees ni za nini ? Hata kama wanasema utatoa ukishinda interview, kwanini wazisikate kwenye mshahara wa mwanzo (first salary)
 
Processing fee baada ya kufanikiwa kulipia gharama za matangazo na documents
 
Processing fee baada ya kufanikiwa kulipia gharama za matangazo na documents
Wanahitaji Imamu wangapi na wangapi watashinda interview na kushinda interview does it mean ndio umeshinda kazi ? Na processing fee itachukuliwa kwa walioshinda Interview au waliopata Kazi ?
 
Wanahitaji Imamu wangapi na wangapi watashinda interview na kushinda interview does it mean ndio umeshinda kazi ? Na processing fee itachukuliwa kwa walioshinda Interview au waliopata Kazi ?
Yule ambae atafanikiwa ndo atakatwa hizo processing fee kwenye mshahara wake kwa instalment
 
Yule ambae atafanikiwa ndo atakatwa hizo processing fee kwenye mshahara wake kwa instalment
Kwahio mtu anakatwa kwenye mshahara wake na sio kulipa ili aje apate mshahara ? Tuseme ni Agency Fee
 
Tanzania ni ngumu kupata shekhe mwenye sifa hizo kwa sababu wengi wao hawapendi kusoma kiutaratibu (vyuoni).

Anaweza kujua fiqhi, sharia, historia ya mtume (sira) lakini basic
Watu wamesoma ndg Wana degree Toka vyuo vya huko uarabuni. Ila sema ni kuwa makini na matapeli maana 1.5 M ni nyingi kutapeliwa
 
Back
Top Bottom