Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Halafu mpwayungu mbona umetulia sana leo hujatuambia matokeo ya TPA au wewe ndio wale wana jf wenye zero kule chini wenye namba za kufatana [emoji1787][emoji1787]Huwezi kuajiliwa serikalini kama hujapitia law school na kupata muhuri _advocate. Uliza ujue mengi utaonekana wa Kuja
Kila siku wanaajiriwa ila mmoja mmoja halmashauri na taasisi za serikali. Hizi sekta haziajiri kwa mkupuo kama afya na elimu sababu. Mfano kila halmashauri ikipewa nafasi 1 ya afisa kilimo zimeisha. Hapo bado kuna shahada, stashahada na astashahada. Mf. Maafisa watendaji ni watu wa kada ya sheria mara nyingi na zimetangazwa nyingi leoMm binafs nin swal Kama lako sheria na kilimo vip hapo
Huyo lazima kangonga zero.. wametulia kimya kama maji mtungini dadeq😁😁Halafu mpwayungu mbona umetulia sana leo hujatuambia matokeo ya TPA au wewe ndio wale wana jf wenye zero kule chini wenye namba za kufatana [emoji1787][emoji1787]
Ajira ni kibao na zinaendelea kutangazwa huko Halmashauri mbalimbali kwa taarifa zaidi tembelea Uzi wangu nilioupost jana.Kila siku wanaajiriwa ila mmoja mmoja halmashauri na taasisi za serikali. Hizi sekta haziajiri kwa mkupuo kama afya na kilimo sababu. Mfano kila halmashauri ikipewa nafasi 1 ya afisa kilimo zimeisha. Hapo bado kuna shahada, stashahada na astashahada. Mf. Maafisa watendaji ni watu wa kada ya sheria mara nyingi na zimetangazwa nyingi leo
Duuh,IVI WATU Wa MIPANGO YA MAENDELEO Ajira Zao vipi? YANI MAAFSA MIPANGO AU WENYEWE HAWAMO KWENYE HIYO MIGAO YA IZO AJIRA ZA SAMIAAjira ni kibao na zinaendelea kutangazwa huko Halmashauri mbalimbali kwa taarifa zaidi tembelea Uzi wangu nilioupost jana.
But hizo za Kilimo na mifugo ni nyingi ziko zaidi ya 1500 tena zaidi ya hzi za Sheria zinazotangazwa Sasa.
Sasa kwa idadi hyo siwezi kukubali kuwa Kila Halmashauri watoe nafasi mojamoja.. hiz za Sasa(watendaji mitaa) Kila Halmashauri inatangaza Ajira zaidi ya 10
Duuh,IVI WATU Wa MIPANGO YA MAENDELEO Ajira Zao vipi? YANI MAAFSA MIPANGO AU WENYEWE HAWAMO KWEzaE HIYO MIGAO YA IZO AJIRA ZA SAMIA
[emoji23][emoji23]Wewe unafit hizi za Serikali za mitaa Omba tu.. Maafisa mipango Ajira zake ni issue coz hawa watu wako mijini na hawataki kutoka Wala kustaafu dadeq[emoji16][emoji16]
Watu wa Kilimo watakula shavu msimu huu Shombe la Kisomali hapo hakikisha unaupiga mwingi tu.[emoji23][emoji23]