Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye haingii uwanjani kucheza na Yale alowaelekeza wachezaji wake wakishindwa kutekeleza zigo linamwangukia yeye.Hiyo siyo haki.
Ni Kama mwl amfundishe mwanafunzi darasani na ampe kila kitu kulingana na mtaala lakini pia akishindwa kujibu maswali au kufeli huyohuyo mwl anatupiwa lawama na jamii,nashindwa kabisa kulielewa hili.
Nawashauri pia mashabiki Mara nyingi pia tuna kuwa na kelele nyingi na Mara nyingi Ndo chanzo Cha hili.Mara nyingi tunataka furaha tu kwenye ushabiki na kusahau maumivu pia Ni sehemu ya Mpira wa miguu.
Hii siyo haki kwa hii tasnia na ni kama ulimwengu mzima mashabiki wanafanana. Tukumbuke Hawa Makocha wanafamilia pia zinawategemea.
So sad.