Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ndio hivyo, wanaajiriwa ili wafukuzwe, ukocha sio rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa, na vile ulaya wana utaratibu wa kusaini mikataba ya mda mrefu. Makocha wanapiga hela za bure tu.Kuna kocha kule ulaya ilikuwa ndio mambo yake hayo anasaini mkataba mrefu halafu baadae anafanya madudu anakula mapesa kwa hyo sometimes wanachomesha kusudi na wanapiga hela kweli.