Ajira za Makocha wa Mpira wa miguu ni ngumu

Ndio hivyo, wanaajiriwa ili wafukuzwe, ukocha sio rahisi
 
Kuna kocha kule ulaya ilikuwa ndio mambo yake hayo anasaini mkataba mrefu halafu baadae anafanya madudu anakula mapesa kwa hyo sometimes wanachomesha kusudi na wanapiga hela kweli.
Sahihi kabisa, na vile ulaya wana utaratibu wa kusaini mikataba ya mda mrefu. Makocha wanapiga hela za bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…