Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.

Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
 
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya...japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya Tamisemi halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?....
Vipi kuna muda hukuwa hewani ? Maana hilo tangazo lilikanusha kwamba ni fake,nadhani hujaona update
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-07-14-57-41.png
    Screenshot_2024-04-07-14-57-41.png
    544.3 KB · Views: 21
hakuna cha feki wala nini ajira zitatoka hivyo hivyo Poor Brain To yeye dronedrake Intelligent businessman 18,750 mtakuja kunishukuru zikitoka idadi hii ndio utajua nchi hii kuna watu waina tatu 𝐖𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐜𝐡𝐢, 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐧𝐜𝐡𝐢, 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢(𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐬𝐢)
 
hakuna cha feki wala nini ajira zitatika hivyo hivyo Poor Brain To yeye dronedrake Intelligent businessman 18,750 mtakuja kunishukuru zikitoka idadi hii ndio utajua nchi hii kuna watu waina tatu 𝐖𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐜𝐡𝐢, 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐧𝐜𝐡𝐢, 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢(𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐬𝐢)
Mi nakushukuru sasa hivi mkuu..
Hiyo badae ntakua nisha changanyikiwa na futari
😂😂😂🙌🙌🙌
Unaupiga mwingi sana mkuu
Mama anaupiga mwingi
Na wewe pump unaupiga mwingi
 
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.

Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
Huwa zinatangazwa mwaka huu tutaajiri Elfu 50.

Mpaka mwaka unaisha hazifiki Elf 5
 
Back
Top Bottom