Ajira za TAMISEMI

Sasa c jambo la kujiongeza tuu hapo kama hakuna sehemu ya cv c Unaweka kwenye barua. Au unadhani wote tunaokoment n waalimu.?
 
Waliosoma diploma in early childhood education wanajazaje pale sehemu ya course aliyosoma?
 
Huyo mdau angekupa vitu vingi sana kama ungekuwa mtulivu...lkn nakuona unaenda nae sambamba kama vile huna unacho hitaji kwake wakati umekuja kuomba ushauri na ajira bado hujapata.....punguza ujuaji tulia upate kitu.
Aliye kuambia mimi ni Unemployed ni nani..!?
 
Baada ya kuja kupata training ya namna ya kuandika CV na Cover Letter sijawahi kukosa kuitwa kwenye interview na nilipata kazi kirahisi sana.
Enzi hizo lakini sasa mie ni mkongwe.
Mkuu si utoe mwongozo au sample skeleton ya CV+Cover letter, natamani kujifunza mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…