Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Aandike kwenye CV gani ?

Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.

Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
🤣🤣🤣 Hizi ajira zimekuja ki vingie kabisa hazina mambo mengi. Pia nadhan ambao hawakupata mwaka jana watapewa kipaombele
 
Wacha wafwe tu hakuna namna tukiwaita kwenye viofisi vyetu wachukue ujuzi tugawane riziki hawataki wanataka mshahara kuanzia 500k
Mkuu kiofisi kiko wapi nikuje tugawane hako kariziki
 
we jamaa kila nyuzi za izi ajira umo halaf haujui chochote kwa kichwa kama ni mwalimu pole yako hausomi tangazo haufuati maelezo.

1. hakuna sehemu yoyote wanaitaji kuverify, ukiweka vilivyo verified sawa pia ukiscan original ukawela sawa

2. hakuna sehemu yoyote wameandika barua inatakiwa kwa mkono au kutype walichosisitiza ni sahihi , either andika kwa mkono au type ila usisahau sahihi

3. hakuna sehemu yoyote wameandika andika kwa kingereza au kiswahili ivyo lugha yoyote ni sawa

usicomplicate mambo kama unahaha kila nyuzi unacoment coment hadi mambo ya PSRS wakati tamisemi hayapo
 
Asante kwa Taarifa.!
 
It is not a good idea to include your certificates on your resume. The employer is uninterested in validating it, which they will do regardless once the selection is completed and an offer letter is distributed.

At first, it will simply take up space on your resume and increase the file size, which is usually not appreciated.

Stick to providing them with information that will assist them in making decisions. Aspects such as your certificate, references, and so on can be saved for later because the employer will request them if they are required.

Otherwise, stick to the basics of resume writing and make your resume as interesting as possible to pique the employer's interest in meeting with you.
 
Back
Top Bottom